Friday, June 8, 2018

MAAFISA UTUMISHI NA WATAALAMU WA AFYA RUVUMA NA DAR WAJENGEWA UWEZO MFUMO WA WISN PLUS POA MTWARA

Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mahija Yahaya, akiwaelekeza jambo washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa WISN + POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma, yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID.

Mshauri wa Rasilimali watu katika Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Zawadi Dakika, akitoa somo kwa kutumia Kompyuta katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa WISN + POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID. 


ZAWADI DAKIKA


Afisa Sera kutoka mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Christina Godfrey, akitoa maelekezo kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa WISN + POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma, yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID.


Afisa Sera kutoka mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Christina Godfrey, akitoa maelekezo kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa WISN + POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma, yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID.


Meneja mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 mkoa wa Mtwara, Amina Rajabu, akitekeleza majukumu yake wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa WISN + POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma , yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa 
WISN + POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma, wakiwa wanaelekezana jambo ikiwa ni sehemu ya somo. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID. 



Afisa Sera kutoka mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Christina Godfrey, akitoa maelekezo kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa ukokotozi wa mahitaji ya watumishi kwa kila kada katika vituo vya kutolea huduma (WISN Plus POA), yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID.


Mshauri wa Rasilimali watu katika Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Zawadi Dakika, akiwaelekeza jambo washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa ukokotozi wa mahitaji ya watumishi kwa kila kada katika vituo vya kutolea huduma (WISN Plus POA). Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID. 


Meneja Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3 Mkoa wa Lindi Aloyce Mwasuka akifafanua jambo kwa  washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa ukokotozi wa mahitaji ya watumishi kwa kila kada katika vituo vya kutolea huduma (WISN Plus POA). Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID. 


Afisa usafirishaji katika Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Peter Henze, akielekezana jambo na meneja mradi wa PS3 mkoa wa Mtwara Amina Rajabu, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa ukokotozi wa mahitaji ya watumishi kwa kila kada katika vituo vya kutolea huduma (WISN Plus POA). Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya mradi wa PS3 unaofadhiliwa na shirika la Kimarekani la USAID. 


Bi Restituta Masao, ambaye ni mshauri wa Rasiliamli watu katika Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, akitoa elimu kwa  washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa utumishi na wataalamu wa afya wa halmashauri za mikoa ya Ruvuma na Dar es Salaam juu ya matumizi ya mfumo wa WISN+POA uliorahisishwa na kuzingatia uzito wa kazi katika vituo vya kutolea huduma.

Mfumo wa WISN+POA hutumika kukokotoa mahitaji ya watumishi kwa kila kada katika kituo cha kutolea huduma. Kwa sasa mfumo huu unatumika katika ngazi ya Zahanati na kituo cha afya pekee, ukijumlisha kada mbalimbali zilizopo katika vituo hivyo ambazo ni Waganga, Waganga wasaidizi, Matabibu, Matabibu wasaidizi, Maafisa wauguzi, Maafisa wauguzi wasaidizi na Wauguzi.

No comments: