|
Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) akipewa ushauri na Mtaalam
wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia
Kabona wakati wa zoezi la kuwapima ugonjwa huo wafanyakazi wa kampuni hiyo
uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo jijinji Dar es
Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.
|
|
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipewa ushauri
na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali ya AAR Dkt.
Zacharia Kabona,(kulia) wakati wa zoezi la upimaji wa ugonjwa huo kwa
wafanyakazi wa kampuni hiyo uliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo
Mlimani City leo jijinji Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi
wa saratani ya matiti duniani.
|
|
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jijini
Dar es Salaam leo wakiwa kwenye semina maalumu ya upimaji wa ugonjwa wa
Saratani ya Matiti ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani
ya matiti duniani.
|
|
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania , wakimsikiliza
kwa makini Meneja wa mauzo Happiness Shuma alipokuwa akitoa mada kuhusiana na
elimu ya ugonjwa wa saratani ya matiti, wakati wa zoezi la kuwapima wafanyakazi
wa kampuni hiyo lililofanyika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani city
jijini Dar es Salaam,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani
duniani.
|
|
No comments:
Post a Comment