Thursday, August 13, 2015

Hii hapa horodha ya waliyopita kwenye chujio la Kamati Kuu ya CCM Dodoma..



Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum ambapo baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wametupwa nje na kuchukuliwa mshindi wa tatu.
Akizungumza leo na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema kuwa kuna baadhi ya majimbo ambayo yamelazimika kurudia kupiga kura za maoni na mengine kuhesabu upya kura zilizopigwa baada ya kujitokeza malalamiko kwa wagombea.
Amesema kuna baadhi ya majimbo ambayo wamelazimika kumchukua mshindi wa tatu kwenye kura za maoni na kuwaacha walioshinda nafasi ya kwanza na ya pili ili kumaliza migogoro iliyokuwepo.
Ameyataja majimbo 11 ambayo yatarudia uchaguzi wa kura za maoni kuwa ni Ukonga, Kiteto, Chilonwa, Kilolo, Njombe Kusini, Makete, Namtumbo, Rufiji, Mbinga Vijijini, Busega na Singida Mashariki.
Aidha Nnauye amesema kuwa uchaguzi wa viti maalum kupitia umoja wa wanawake Tanzania (UWT) yamepitishwa kama yalivyotoka mikoani ambapo ni mkoa mmoja tu wa Dar es Salaam ambao NEC imetengua ushindi wa mshindi wa kwanza, Angela Kiziga ambaye ni mbunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na badala yake aliyeshika nafasi ya pili na ya tatu ndiyo waliopitishwa katika ubunge wa viti maalum.
Waliopitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ubunge wa viti maalum mkoa wa Dar es Salaam ni Mariam Kisangi aliyekuwa mshindi wa pili na Janeth Masaburi aliyekuwa mshindi wa tatu.


 TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI
WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015
NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA
1.
Arusha
Arusha Mjini
Arusha
Ndugu Philemon Mollel
Karatu
Karatu
Dkt. Wilbard  Slaa Lorri
Arumeru
Arumeru Magharibi
Ndugu Loy Thomas ole Sabaya
Arumeru Mashariki
Ndugu John Danielson Sakaya (JD)
Longido
Longido
Dkt. Stephen Lemomo Kiruswa
Monduli
Monduli
Ndugu Namelock Edward Sokoine
Ngorongoro
Ngorongoro
Ndugu William Tate ole Nasha
2.
Dar es Salaam
Ilala
Ukonga
KURA ZINARUDIWA
Ilala
Ndugu Zungu Mussa Azzan
Segerea
Ndugu Bonna Mosse Kaluwa
Temeke
Temeke
Ndugu Abasi Zuberi Mtemvu
Kigamboni
Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile
Mbagala
Ndugu Issa Ally A. Mangungu
Kinondoni
Kawe
Ndugu Kippi Ivor Warioba
Ubungo
Dkt. Didas John Masaburi
Kibamba
Dkt. Fenela E. Mkangala
Kinondoni
Ndugu Iddi Azzan
3
Dodoma
Chemba
Chemba
Ndugu Juma Selemani Nkamia
Bahi
Bahi
Ndugu Omar Ahmed Badwel
Mpwapwa
Kibakwe
Ndugu George Boniface Simbachawene
Mpwapwa
Ndugu George Malima Lubeleje
Chamwino
Mtera
Ndugu Livingstone Joseph Lusinde
Chilonwa
KURA ZINARUDIWA
Dodoma Mjini
Dodoma Mjini
Ndugu Antony Peter Mavunde

NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Kongwa                                                                                                                                                                  
Kongwa
Ndugu Job Y. Ndugai


Kondoa
Kondoa Mjini
Ndugu Sanda Edwin
Kondoa  Vijijini
Dkt.  Ashatu Kijaji
4.
Geita
Geita
Geita Mjini
Ndugu Costantine John Kanyansu
Geita Vijijini
Ndugu Joseph Lwinza Kasheku
Busanda
Ndugu Lolensia Masele Bukwimba
Mbogwe
Mbogwe
Ndugu Augustino Manyanda Massele
Bukombe
Bukombe
Ndugu Doitto Mashaka Biteko
Chato
Chato
Dkt. Medard Matogolo Kalemani

Nyangwale
Ndugu Hussein Nassor Amar
5..

Iringa
Iringa Mjini
Iringa Mjini
Ndugu Mwakalebela Fredrick Wilfred
Iringa Vijijini
Isimani
Ndugu William Vangimembe Lukuvi
Kalenga
Ndugu Godfrey William Mgimwa
Kilolo
Kilolo
KURA ZINARUDIWA
Mufindi
Mufindi Kaskazini
Ndugu Mahmoud  Hassan Mgimwa
Mufindi Kusini
Ndugu Mendrad  Lutengano Kigola
Mafinga Mjini
Ndugu Cosato David Chumi
6
Kagera
Bukoba Mjini
Bukoba Mjini
Balozi Khamis Sued Kagasheki                                                                                                                                                                                                           
Bukoba Vijijini
Bukoba Vijijini
Ndugu Jasson Samson Rweikiza
Biharamulo
Biharamulo
Ndugu Osca Rwegasira Mkassa
Karagwe
Karagwe
Ndugu Innocent Luugha Bashungwa
Kyerwa
Kyerwa
Ndugu Innocent Sebba Bilakwate
Muleba
Muleba Kaskazini
Ndugu Charles John Mwijage
Muleba Kusini
Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Misenyi
Nkenge
Ndugu Diodorus Buberwa Kamala
Ngara
Ngara
Ndugu Alex Raphael Gashaza

NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA
7.
Katavi
Mpanda
Mpanda Mjini
Ndugu Sebastian Simon Kapufi
Mpanda Vijijini
Ndugu Moshi Selemani Kakoso
Mlele
Katavi
Ndugu Issack Aloyce Kamwele
Nsimbo
Ndugu Richard Philip Mbogo
Kavuu
Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe
8.
Kigoma
Kakonko
Buyungu
Eng. Christopher K. Chiza
Kibondo
Muhambwe
Eng. Atashasta Nditye
Kasulu
Kasulu Mjini
Ndugu Daniel Nsanzugwanko
Kasulu Vijijini
Ndugu Augustino Vuma Holle
Buhigwe
Manyovu
Ndugu Albert Obama Ntabaliba
Kigoma Mjini
Kigoma Mjini
Ndugu Amani Walid Kabourou
Kigoma Vijijini
Kigoma Kaskazini
Ndugu Peter Joseph Serukamba
Uvinza
Kigoma Kusini
Ndugu Hasna Sudi Mwilima
9.
Kilimanjaro
Hai
Hai
Ndugu Danstan Lucas Mallya
Siha
Ndugu Aggrey Deaidile Mwanri
Moshi Mjini
Moshi Mjini
Ndugu Mosha Davis Elisa
Mwanga
Mwanga
Profesa Jumanne A. Maghembe
Same
Same Mashiriki
Ndugu Anne Kilango Malecela
Same Magharibi
Ndugu David Mathayo David
Moshi Vijijini
Moshi Vijijini
Dkt. Cyril August Chami
Vunjo
Ndugu Innocent Melleck Shirima
Wilaya
Rombo
Ndugu Sanje Samora Colman
10.
Lindi
Ruangwa
Ruangwa
Ndugu Majaliwa Kassim Majaliwa
Liwale
Liwale
Ndugu Faith Mohamed Mitambo
Nachingwea
Nachingwea
Ndugu Hassan Elias Masala

NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Lindi Vijijini
Mtama
Ndugu Nape Moses Nnauye
Mchinga
Ndugu Said Mohamed Mtanda
Lindi Mjini
Lindi Mjini
Ndugu Hassan Seleman Kaunje
Kilwa
Kilwa Kusini
Ndugu Hasnain Gulamabas Dewji
Kilwa Kaskazini
Ndugu Murtaza Ally Mangungu
11.
Mara
Bunda
Bunda Mjini
Ndugu Steven Masatu Wasira
Mwibara
Ndugu Kangi Alphaxard Lugola
Bunda Vijijini
Ndugu Boniface Mwita Getere
Tarime
Tarime
Ndugu Christopher Ryoba Kangoye
Tarime  Mjini
Ndugu Michael Mwita Kembaki
Serengeti
Serengeti
Dkt. Steven Kebwe Kebwe
Butiama
Butiama
Ndugu Nimrod Elirehemah Mkono
Butiama Vijijini
Prof. Sospeter Mwinjarubi Muhongo
Rorya
Rorya
Ndugu Lameck Okambo Airo
Musoma Mjini
Musoma Mjini
Ndugu Vedastus Mathayo Manyinyi
12.
Manyara
Babati Mjini
Babati Mjini
Ndugu Kisyeri Chambiri
Babati Vijijini
Babati Vijijini
Ndugu Jittu Vrajilal Son
Hanang’
Hanang’
Dkt. Mary Michael Nagu
Kiteto
Kiteto
Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
Mbulu
Mbulu Mjini
Ndugu Zacharia  Paulo Issaay
Mbulu Vijijini
Ndugu Fratei Gregory Massay
Simanjiro
Simanjiro
Ndugu Christopher Olonyhokie Ole Sendeka
13.
Mbeya
Mbeya Mjini
Mbeya Mjini
Ndugu Sambwee Shitambala Mwalyego
Mbeya Vijijini
Mbeya Vijijini
Ndugu Oran M. Njeza
Mbarali
Mbarali
Ndugu Haroon Mullah Pirmohamed

NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Rungwe
Rungwe
Ndugu Sauli Henry Amon
Busokelo
Ndugu Atupele Fredy Mwakibete
Ileje
Ileje
Ndugu Janeth Zebedayo Mbene
Mbozi
Mbozi
Ndugu Weston Godfrey Zambi
Vwawa
Ndugu Ngailonga Josephat Kasunga
Momba
Momba
Ndugu Luca Jelas Siyame
Tunduma
Ndugu Frank Mastara Sichalwe
Chunya
Lupa
Ndgu Victor Mwambalaswa
Songwe
Ndugu Philip A. Mulugo
Kyela
Kyela
Dkt. Harrison George Mwakyembe
14.
Morogoro
Morogoro Mjini
Morogoro Mjini
Ndugu Abood Mohamed Abdul Aziz
Morogoro Vijijini
Morogoro Kusini
Ndugu Prosper Joseph Mbena
Morogoro Kusini Mashariki
Ndugu Omar Tibweta Mgumba
Gairo
Gairo
Ndugu Ahmed Shabiby
Mvomero
Mvomero
Ndugu Suleiman Ahmed Saddiq
Mikumi
Ndugu Jones Estomih Nkya
Kilombero
Kilombero
Ndugu Abubakar Damian Asenga
Mlimba
Ndugu Godwin Emmanuel Kunambi
Ulanga
Ulanga Mashariki
Ndugu Celina Ompeshi Kombani
Ulanga Magharibi
Dkt. Hadji Mponda
Kilosa
Kilosa
Ndugu Mbaraka Salum Bawazir
15.
Mtwara
Mtwara Mjini
Mtwara Mjini
Ndugu Hasnen Mohamed Murji
Nanyamba
Ndugu Abdallah Dadi Chikota
Mtwara Vijijini
Mtwara Vijijini
Ndugu Hawa Abdulhaman Ghasia
Tandahimba
Tandahimba
Ndugu Shaibu Salum Likumbo

NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Newala
Newala Mjini
Ndugu George Huruma Mkuchika
Newala Vijijini
Ndugu Rashid Ajali Akbar
Nanyumbu
Nanyumbu
Ndugu William Dua Mkurua
Masasi
Ndanda
Ndugu Mariam Reuben Kasembe
Masasi
Ndugu Chuachua Mohamed Rashid
Lulindi
Ndugu Jerome Dismas Bwanausi
16.
Mwanza
Ilemela
Ilemela
Ndugu Angelina Sylvester Lubala Mabula
Nyamagana
Nyamagana
Ndugu Stanslaus S. Mabula
Kwimba
Kwimba
Ndugu Mansoor Shanif Hiran
Sumve
Ndugu Richard Maganga Ndassa
Misungwi
Misungwi
Ndugu Charles Mhangwa Kitwanga
Magu
Magu
Ndugu Boniventura Desdery Kiswaga
Sengerema
Sengerema
Ndugu William Mganga Ngeleja
Buchosa
Dkt. Charles John Tzeba
Ukerewe
Ukerewe
Ndugu Christopher Nyandiga
17.
Njombe
Njombe Kusini
Njombe Kaskazini
Ndugu Joram Hongoli
Njombe Kusini
Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
Wanging’ombe
Makambako
Ndugu Deo Kasenytenbda Sanga
Wanging’ombe
Nduguy Gerson Hosea Lwenge
Ludewa
Ludewa
Ndugu Deo Filikunjombe
Makete
Makete
KURA ZINARUDIWA
18.
Pwani
Bagamoyo
Bagamoyo
Dkt. Shukuru Kawambwa
Chalinze
Ndugu Ridhiwani J. Kikwete
Kibaha

Kibaha Mjini
Ndugu Sylvester Francis Koka
Kibaha Vijijini
Ndugu Hamoud Abuu Jumaa


NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Kisarawe
Kisarawe
Ndugu Selemani Said Jaffo
Mafia
Mafia
Ndugu Mbaraka K. Dau
Mkuranga
Mkuranga
Ndugu Abdallah H. Ulega
Rufiji
Rufiji
KURA ZINARUDIWA
Kibiti
Kibiti
Ndugu Ally Seif Ungando
19.
Rukwa
Sumbawanga Mjini
Sumbawanga Mjini
Ndugu Aeshi Khalfan Hilaly
Nkansi
Nkansi Kaskazini
Ndugu Ally Mohamed Kessy
Nkansi Kusini
Ndugu Deuderit John Mipata
Sumbawanga Vijijini
Kwela
Ndugu Ignas Aloyce Malocha
Kalambo
Kalambo
Ndugu Josephat Sinkamba Kandege
20.
Ruvuma
Songea Mjini
Songea Mjini
Ndugu Leonidas Tutubert Gama
Nyasa
Nyasa
Ndugu Eng. Stella Martin Manyanya
Tunduru
Tunduru Kaskazini
Ndugu Ramo Matala Makani
Tunduru Kusini
Ndugu Daimu Iddi Mpakate
Songea Vijijini
Peramiho
Ndugu Jenister Joakim Mhagama
Madaba
Ndugu Joseph Kisito Mhagama
Namtumbo
Namtumbo
KURA ZINARUDIWA
Mbinga
Mbinga Mjini
Ndugu Sixtus Raphael Mapunda
Mbinga Vijijini
KURA ZINARUDIWA KATA MBILI
21.
Simiyu
Bariadi
Bariadi Magharibi
Ndugu Andrew John Chenge
Itilima
Bariadi Mashariki (Itilima)
Ndugu Njalu Daudi Silanga
Meatu
Meatu
Ndugu Salum Khamis Salumu
Kisesa
Ndugu Luhanga Joelson Mpina



NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Busega
Busega
KURA ZINARUDIWA
Maswa
Maswa Mashariki
Ndugu Stanslaus Haroun Nyongo
Maswa Magharibi
Ndugu Mashimba Mashauri Ndaki
22.
Singida
Singida
Singida Mjini
Ndugu Ramadhani Sima
Singida Kaskazini
Ndugu Lazaro Nyalandu
Mkalama
Iramba Mashariki
Ndugu Joseph Allan Kiula
Iramba
Iramba Magharibi
Ndugu Mwigulu Lamech Nchemba
Manyoni
Manyoni Magharibi
Ndugu Yahya Omari Masare
Manyoni Mashariki
Ndugu Daniel Edward Mtuka
Ikungi
Singida Mashariki
Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
Singida Magharibi
Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu
23.
Shinyanga
Shinyanga Mjini
Shinyanga Mjini
Ndugu Steven Masele
Shinyanga Vijijini
Solwa
Ndugu Ahmed Ally Salum
Kishapu
Kishapu
Ndugu Suleiman Masoud Nchambi                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                    
Kahama
Msalala
Ndugu Ezekiel Magolyo Maige
Ushetu
 Ndugu  Elias John Kwandikwa                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                  
Kahama Mjini
Ndugu Kishimba Jumanne Kibera
24.
Tabora
Tabora Mjini
Tabora Mjini
Ndugu Emmanuel Mwakasaka
Uyui
Igalula
Ndugu Ntimizi  Rashidi Mussa
Kaskazini Uyui
Ndugu Maige Athumani Almas
Sikonge
Sikonge
Ndugu George Joseph Kakunda
Urambo
Urambo
Ndugu Margareth Samwel Sita
Kaliua
Kaliua
Profesa Juma Athuman Kapuya




NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA



Ulyankulu
Ndugu John Peter Kadutu
Nzega
Nzega Mjini
Ndugu Hussein Mohamed Bashe
Bukene
Ndugu Suleiman Juma Zedi
Nzega Vijijini
Dkt. Hamis Andrea Kigwangala
Igunga
Igunga
Dkt Dalaly Peter Kafumu
Manonga
Ndugu Seif Hamis Said
25.
Tanga
Tanga Mjini
Tanga Mjini
Ndugu Omari Rashid Nundu
Lushoto
Lushoto
Ndugu Shabani Omari Shekilindi
Bumbuli
Ndugu Januari Yusuf Makamba
Mlalo
Ndugu Rashid Abdakkag Shangazi
Pangani
Pangani
Ndugu Jumaa Hamidu Aweso
Kilindi
Kilindi
Ndugu Omari Mohamed Kigua
Mkinga
Mkinga
Ndugu Danstan Luka Kitandula
Handeni
Handeni Mjini
Dkt. Abdallah Omar Kigoda
Handeni Vijijini
Ndugu Mboni Mohamed Mhita
Muheza
Muheza
Balozi  Adadi Mohamed Rajabu
Korogwe
Korogwe Mjini
Ndugu Mary Pius Chatanda
Korogwe Vijijini
Ndugu Stephen Hillary Ngonyani









ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 UBUNGE - ZANZIBAR
NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA
1.
Kaskazini Pemba
Wete
Gando
Ndugu Salim Bakar Issa
Kojani
Ndugu Masoud Ali Moh’d
Mgogoni
Ndugu Issa Juma Hamad
Mtambwe
Ndugu Khamis Seif Ali
Wete
Dkt. Abdalla Saleh Abdalla
Micheweni
Micheweni
Ndugu Khamis Juma Omar
Tumbe
Ndugu Rashid Kassim Abdalla
Konde
Ndugu Ramadhan Omar Ahmed
Wingwi
Ndugu Khamis Shaame Hamad
2.
Kaskazini Unguja
Kaskazini “A”
Chaani
Ndugu Khamis Yahya Machano
Kijini
Ndugu Makame Mashaka Foum
Mkwajuni
Ndugu Khamis Ali Vuai
Nungwi
Ndugu Mustafa Makame Hamadi
Tumbatu
Ndugu Juma Othman Hija
Kaskazini “B”
Bumbwini
Ndugu Mbarouk Juma Khatib
Donge
Ndugu Sadifa Juma Khamis
Kiwengwa
Ndugu Khamis Mtumwa Ali
Mahonda
Ndugu Bahati Ali Abeid
3.
Kusini Pemba
Chake Chake
Chake Chake
Ndugu Mbaraka Said Rashid
Chonga
Ndugu Abdalla Omar Muya
Ole
Ndugu Omar Mjaka Ali
Wawi
Ndugu Daud Khamis Juma
Ziwani
Ndugu Mohamed Othman Omar





NA.
MKOA

JIMBO
ALIYETEULIWA


Mkoani
Chambani
Ndugu Moh’d Abdulrahman Mwinyi
Kiwani
Ndugu Rashid Abdulla Rashid
Mkoani
Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
Mtambile
Ndugu Khamis Salum Ali
4.
Kusini Unguja
Kati
Chwaka
Ndugu Bhagwanji Meisuria (Mshamba)
Tunguu
Ndugu Khalifa Salum Suleiman
Uzini
Ndugu Salum Mwinyi Rehani
Kusini
Makunduchi
Ndugu Haji Ameir Haji (Timbe)
Paje
Ndugu Jaffar Sanya Jussa
5.
Magharibi
Dimani
Dimani
Ndugu Hafidh Ali Tahir
Chukwani

Fuoni
Ndugu Abass Ali Hassan
Kiembesamaki
Ndugu Ibrahim Hassanali Mohamed
Kijitoupele
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
Mwanakwerekwe
Ndugu Ahmada Yahya Abdulwakil (Shaa)
Mfenesini
Bububu
Ndugu Mwantakaje Haji Juma
Mfenesini
Col. Mst. Masoud Ali Khamis
Welezo
Ndugu Saada Mkuya Salum
Mwera
Ndugu Makame Kassim Makame
6.
Mjini
Amani
Amani
Ndugu Mussa Hassan Mussa
Chumbuni
Ndugu Ussi Salum Pondeza
Magomeni
Ndugu Jamal Kassim Ali
Mpendae
Ndugu Salim Hassan Turkey
Shaurimoyo
Ndugu Matar Ali Salum

NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA


Mjini
Jang’ombe
Ndugu Ali Hassan Omar (King)
Kikwajuni
Ndugu Hamad Yussuf Masauni
Kwahani
Dr. Hussein Ali Mwinyi
Malindi
Dkt. Abdulla Juma Abdalla

ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 BARAZA LA WAWAKILISHI - ZANZIBAR
NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA
1.
Kaskazini Pemba
Wete
Mgogoni
Ndugu Shehe Hamad Matar
Gando
Ndugu Maryam Thani Juma
Kojani
Ndugu Makame  Said Juma
Mtambwe
Ndugu Khadija Omar Kibano
Wete
Ndugu Harusi Said Suleiman
Micheweni
Micheweni
Ndugu Shamata Shaame Khamis
Tumbe
Ndugu Ali Khamis Bakar
Konde
Ndugu Omar Seif Abeid
Wingwi
Ndugu Said Omar Said
2.
Kaskazini Unguja
Kaskazini “A”
Chaani
Ndugu Nadil Abdul-Latif Jussa
Kijini
Ndugu Juma Makungu Juma
Mkwajuni
Ndugu Ussi Yahaya Haji
Nungwi
Ndugu Ame Haji Ali
Tumbatu
Ndugu Haji Omar Kheri
Kaskazini “B”
Bumbwini
Ndugu Mtumwa Peya Yussuf
Donge
Dkt. Khalid Salum Mohamed
Kiwengwa
Ndugu Asha Abdalla Mussaa
Mahonda
Balozi Seif Alli Iddi


NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA
3.
Kusini Pemba
Chake Chake
Chake Chake
Ndugu Suleiman Sarhan Said
Chonga
Ndugu Shaibu Said Ali
Ole
Ndugu Mussa Ali Mussa
Wawi
Ndugu Hamad Abdalla Rashid
Ziwani
Ndugu Suleiman Makame Ali
4.

Mkoani
Chambani
Ndugu Bahati Khamis Kombo
Kiwani
Ndugu Mussa Foum Mussa
Mkoani
Ndugu Mmanga Mjwengo Mjawiri
Mtambile
Ndugu Moh’d Mgaza Jecha
5.
Kusini Unguja
Kati
Chwaka
Ndugu Issa Haji Ussi
Tunguu
Ndugu Simai Mohamed Said
Uzini
Ndugu Mohamedraza H. Dharamsi
Kusini
Makunduchi
Ndugu Haroun Ali Suleiman
Paje
Ndugu Jaku Hashim Ayoub
6.
Magharibi
Dimani
Chukwani
Ndugu Mwanaasha Khamis Juma
Dimani
Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini
Fuoni
Ndugu Yussuf Hassan Iddi
Kiembe Samaki
Ndugu Mahmoud Thabit Kombo
Kijitoupele
Ndugu Ali Suleiman Ali (Shihata)
Mwanakwerekwe
Ndugu Abdalla Ali Kombo
Pangawe
Ndugu Khamis Juma Mwalim
Mfenesini
Bububu
Ndugu Masoud Abraham Masoud
Mfenesini
 Ndugu Machano Othman Said
Mtoni
Ndugu Hussein Ibrahim Makungu
Mtopepo
Dkt. Makame Alli Ussi
Welezo
Ndugu Hassan Khamis Hafidh
Mwera
Ndugu Mihayo Juma N’hunga




NA.
MKOA
WILAYA
JIMBO
ALIYETEULIWA
6.
Mjini
Amani
Amani
Ndugu Rashid Ali Juma
Chumbuni
Ndugu Miraji Khamis Mussa
Magomeni
Ndugu Rashid Makame Shamsi
Mpendae
Ndugu Mohamed Said Mohamed (Dimwa)
Shaurimoyo
Ndugu Hamza Hassan Juma
Mjini
Jang’ombe
Ndugu Abdalla Maulid Diwani
Kikwajuni
Ndugu Nassor Salum Ali (Jazeera)
Kwahani
Ndugu Ali Salum Haji
Malindi
Ndugu Mohamed Ahmada Salum































WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA – UWT


NA.
MKOA
JINA
1
Arusha
Ndugu Catherine Valentine Magige


Ndugu Vailet Charles Mfuko
2
Dar es Salaam
Ndugu Mariam Nassoro Kisangi


Ndugu Janeth Mourice Massaburi
3
Dodoma
Ndugu Felister Aloyce Bura


Ndugu Fatuma Hassan Toufiq
4
Geita
Ndugu Vicky Paschal Kamata


Ndugu Josephina Tabitha Chagula
5
Iringa
Ndugu Rose Cyprian Tweve


Ndugu Ritha Enespher Kabati
6
Katavi
Ndugu Taska Restuta Mbogo


Ndugu Anna Richard Lupembe
7
Kagera
Ndugu Bernadetha Kasabango Mushashu


Ndugu Oliva Daniel Semuguruka
8
Kigoma
Ndugu Josephine Johnson Genzabuke


Ndugu Philipa Geofrey Mturano
9
Kilimanjaro
Ndugu Shally Josepha Raymond


Ndugu Betty Eliezer Machangu
10
Lindi
Ndugu Hamiuda Miohamed Abdallah


Ndugu Tecla Mohamed Ungele
11
Mara
Ndugu Agnes Mathew Wambura


Ndugu Christina Mwema Samo
12
Manyara
Ndugu Martha Jachi Umbulla


Ndugu Esther Alexander Mahawe
13
Mbeya
Dr. Mary Machuche


Ndugu Mary Obadia Mbwilo
14
Morogoro
Ndugu Christine Gabriel Ishengoma


Ndugu Sarah Msafiri Ally
15
Mtwara
Ndugu Anastazia James Wambura


Ndugu Agness Elias Hokororo
16
Mwanza
Ndugu Kemirembe Julius Lwota


Ndugu Kiteto Zawadi Konshuma





NA.
MKOA
WILAYA
17
Njombe

Ndugu Susan Alphonce Kolimba
Ndugu Neema William Mgaya
18
Pwani
Ndugu Zaynab Matitu Vullu


Ndugu Subira Khamis Mgalu
19
Rukwa
Ndugu Bupe Nelson Mwakang’ata


Ndugu Silafu Jumbe Maufi
20
Ruvuma
Ndugu Jacqueline Ngonyani Msongozi


Ndugu Sikudhan Yassini Chikambo
21
Simiyu
Ndugu Esther Lukago Midimu


Ndugu Leah Jeremia Komanya

Songwe
Ndugu Juliana Daniel Shonza


Ndugu Neema Gerald Mwandabila
22
Singida
Ndugu Aisharose Ndogholi Matembe


Ndugu Martha Moses Mlata
23
Shinyanga
Ndugu Lucy Thoma Mayenga


Ndugu Azza Hillal Hamad
24
Tabora
Ndugu Munde Tambwe Abdallah


Ndugu Mwanne Ismail Mchemba
25
Tanga
Ndugu Ummy Ally Mwalimu


Ndugu Sharifa O. Abebe


















WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA YA UWT - ZANZIBAR

NA.
MKOA
JINA
1
Kaskazini Pemba
Ndugu Maida Hamad Abdalla
Ndugu Asya Sharif Omar
2
Kaskazini Unguja
Ndugu Angelina Adam Malembeka
Ndugu Mwanajuma Kassim Makame
3
Kusini Pemba
Ndugu Faida Moh’d Bakar
Ndugu Asha Moh’d Omar
4
Kusini Unguja
Ndugu Asha Mshimba Jecha
Ndugu Mwamtum Dau Haji
5
Magharibi
Ndugu Tauhida Cassian Galos
Ndugu Kaukab Ali Hassan
6
Mjini Unguja
Ndugu Fakharia Shomar Khamis
Ndugu Asha Abdallah Juma


WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI – VITI MAALUM – ZANZIBAR

NA.
MKOA
JINA
1
Kaskazini Pemba
Ndugu Bihindi Hamad Khamis
Ndugu Choum Kombo Khamis
2
Kaskazini Unguja
Ndugu Panya Ali Abdalla
Ndugu Mtumwa Suleiman Makame
3
Kusini Pemba
Ndugu Shadya Moh’d Suleiman
Ndugu Tatu Moh’d Ussi
4
Kusini Unguja
Ndugu Salma Mussa Bilali
Ndugu Wanu Hafidh Ameir
5
Magharibi
Ndugu Mwanaidi Kassim Mussa
Ndugu Amina Iddi Mabrouk
6
Mjini
Ndugu Mgeni Hassan Juma
Ndugu Saada Ramadhan Mwendwa












WABUNGE WA WALIOTEULIWA KUPITIA MAKUNDI MENGINE

NA.
Kundi
WALIOTEULIWA
1.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)
Ndugu Halima Abdallah Bulembo
Ndugu Zainabu Athuman Katimba
Ndugu Mariamu Dittopile Mzuzuri
Ndugu Maria Ndilla Kangoye
Ndugu Sophia Mfaume Kizigo
Ndugu Irine Uwoya
UVCCM - ZANZIBAR
Ndugu Khadija Nassir Ali
Ndugu Munira Mustafa Khatibu
Ndugu Nadra Juma Mohamed
Ndugu Time Bakar Sharif
2.
Jumuiya ya WAZAZI
Ndugu Najma Murtaza Giga   -    Tanzania Zanzibar)
Ndugu Zainabu Nuhu Mwamwindi  - (Tanzania Bara)
3.
Walemavu
Ndugu Stella Alex Ikupa
Ndugu Amina Saleh Mollel
4.
Vyuo Vikuu
Ndugu Jasmin Tisekwa Bunga
Ndugu Esther Michael Mmasi
5.
NGO’s
Mchungaji Getrude P. Rwakatare
Ndugu Khadija Hassan Aboud
6.
Wafanyakazi
Ndugu Angelina Jasmin Kairuki
Ndugu Hawa Mchafu Chakoma

 SOURCE: E.A TV

No comments: