|
Afisa habari wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Atley Kuni, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
|
Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Joina Nzari, akifuatlia somo kutoka kwa mwezeshaji (hayupo pichani) wa mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
|
Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Lindi Majid Mbale (kulia) akiwa na afisa TEHAMA wa halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Jitetee Mbonde, wakifuatlia somo kutoka kwa mwezeshaji (hayupo pichani) wa mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
|
Baadhi ya washiriki wakifuatlia somo kutoka kwa mwezeshaji (hayupo pichani) wa mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
|
Afisa habari wa mkoa wa Mtwara, Evaristy Masuha akifuatlia akiwa katika mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
|
Afisa utawala wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Fina Maziku, akiendelea na shughuli zake za kiutawala katika mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa Wakala ya Serikali Mtandao EGA, Rainer Budodi, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa Wakala ya Serikali Mtandao EGA, Rainer Budodi, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa (hawapo pichani) ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Jackline Sombe, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa manispaa ya Temeke, Edda Mmari na afisa habari wa manispaa ya Ubungo, Bornwel Kapinga wakifanya mahojiano ikiwa ni sehemu ya somo katika mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa manispaa ya Temeke, Edda Mmari na afisa habari wa manispaa ya Ubungo, Bornwel Kapinga wakifanya mahojiano ikiwa ni sehemu ya somo katika mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Jackline Sombe, akitoa pongezi kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari na mafia TEHAMA wa hamashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara, na kushirikisha washiriki wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam. |
|
Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Newala, Yusuph Stanford akielekeza jambo katika mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
|
Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Mwanaheri Ahmed, akifafanua jambo katika mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa manispaa ya Temeke, Edda Mmari akifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
|
Afisa habari wa manispaa ya Kinondoni, Martha Kawishe, akifuatlia mafunzo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. |
MTWARA
Maafisa habari wa serikali za
mikoa na halmashauri nchini wametakiwa kubadilika katika uandishi kwa kuacha
kuandika habari za viongozi pekee na baadala yake wajikite katika kuandika
habari zinazowagusa wananchi.
Akizungumza jana mkoani Mtwara katika mafunzo ya kuwajengea uweo
maafisa habari na maafisa TEHAMA wa mikoa Minne nchini, afisa habari wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Atley Kuni, alisema kitendo cha kuandika habari
za viongozi peke katika tovuti zao kinawafanya wananchi wajione kama wametengwa
na kutoona umuhimu wa kutembelea tovuti hizo.
|
Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Mwanaheri Ahmed, akifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwzo maafisa habari wa halmashauri na mikoa juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
“Kubwa tunalosisitiza
kwasababu hii ipo sehemu ya kipengele kimoja katika masuala ya utawala bora,
kwa maana ya kuwashirikisha wananchi..wananchi wanashirikishwaje ni kuhakikisha
habari ambazo zinaandikwa sasa zina sawidi ya kile ambacho wanakifanya kwenye
maeneo yao..” alisema Atley.
Faith Shimba ni Mshauri wa
mifumo ya TEHAMA katika Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3,
ambaye alieleza lengo la kuendesha mafnzo hayo kwa maafisa habari na maafisa
TEHAMA kuwa ni baada ya tathmini iliyofanywa na TAMISEMI pamoja na PS3 na kubaini
mapungufu yakiutendaji kwa maafisa hao.
|
Mshauri wa mifumo ya TEHAMA katika mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Faith Shimba, akitoa somo kwa maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa (hawapo pichani) ya Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salaam, wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwzo juu ya matumizi ya Tovuti za serikali wanazoziendesha na weledi katika taaluma ya habari. Mafunzo hayo ya siku Nne yanaendelea katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara. |
Baadhi ya washiriki wa
mafunzo hayo akiwamo afisa habari wa mkoa wa Mtwara Evaristy Masuha na afisa
habari wa manispaa ya Kinondoni, Martha Kawishe, walieleza kuwa mafunzo hayo
ytawasaidia kuwajenga kitaaluma sambamba na kuahidi kubadilika katika uandishi
wa Tovuti zao.
Mafunzo hayo ya siku Nne
yanayoendeshwa na Mradi wa Uimarshaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3,
yamejumuisha maafisa habari na maafisa TEHAMA wa halmashauri na mikoa Minne ya
Mtwara, Lindi, Dar es Salaam na Ruvuma.
No comments:
Post a Comment