Thursday, May 17, 2012

MAFISANGO SASA KUAGWA SIGARA KESHO BADALA YA LEADERS

Mafisango katika iliyoambatanishwa na gari aliyopatia ajali
MWILI wa kiungo mahiri wa SImba SC, Patrick Mutesa Mafisango (32), sasa utaagwa kwenye Uwanja wa TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam, kuanzia saa 3:00 asubuhi badala Leaders Club, Kinondoni, kama ilivyotangazwa awali.
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' ameiambia BIN ZUBEIRY jioni hii kwamba wamehamishia shughuli ya kuuga mwili huo Uwanja wa Siga ratiba nyingine zote zinabaki kama ilivyotangazwa awali.
Mafisango amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika eneo la Keko jirani na Chuo cha VETA jijini Dar es Salaam.
Mafisango alikufa kutokana na ajali iliyotokea wakati gari alilokuwa akiendesha lilipogonga mti ulio pembezoni mwa barabara ya Chang’ombe majira ya saa kumi kasorobo alfajiri. Marehemu alifariki papo hapo.
Kwenye gari aliyokuwamo Mafisango, kulikuwapo na abiria wengine wanne lakini ni Mafisango pekee ndiye aliyefariki dunia.
Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tayari kwa kusafirishwa kwenda kwao Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambako atazikwa.
Ingawa alikuwa na uraia wa Rwanda na akiichezea timu ya taifa ya nchi hiyo (Amavubi), Mafisango alikuwa ni mzaliwa na raia wa DRC na uamuzi wa kuzikiwa huko ni wa familia yake.
Msiba wa Mafisango uko katika eneo la Keko Toroli jirani na kituo cha Chang’ombe Maduka Mawili (Njia Panda Sigara).
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa kesho Ijumaa saa nne asubuhi katika viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Kinshasa majira ya saa kumi jioni.
Mafisango alizaliwa Machi 30, 1980 huko Kinshasa Zaire wakati huo na ameacha mke na mtoto mmoja wa kiume, Chris Paul, mwenye umri wa miaka mitano.
Mafisango ameichezea Simba kwa msimu mmoja tu akitokea Azam ya Dar es Salaam lakini kabla ya hapo alichezea pia TP Mazembe ya DRC, APR ya Rwanda na pia aliwahi kuwa nahodha wa Amavubi kwa takribani miaka mitano.
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, Makamu wake, Geofrey Nyange Kaburu na wajumbe wa kamati ya watendaji wameeleza kusikitishwa kwao na msiba huu mkubwa kwa klabu na wamewataka wana Simba wote kuwa watulivu na kumwombea marehemu Mungu amlaze mahali pema peponi.
Uongozi wa Simba unaahidi kuwa utatoa taarifa nyingine zozote muhimu kwa wananchi ili wafahamu kuhusu msiba huu pale itakapotokea.

FAMILIA YA WALCOTT YASUSIA EURO 2012


Theo Walcott
Concerns ... Theo Walcott
Published: Today at 11:35

FAMILIA ya nyota mweusi wa kikosi cha timu ya taifa soka ya England, Theo Walcott haitakwenda kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2012 mwezi ujao kwa sababu wanahofia usalama wao.

Kaka wa winga huyo Arsenal, Ashley hawatahatarisha maisha yao kwa kwenda Ukraine kumuangalia ndugu yao, nyota wa England, Theo mwenye umri wa miaka 23, jana alitajwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya nchi hiyo cha Roy Hodgson.
Nyota huyo alifanyiwa kejeli za kibaguzi, akionyeshwa ishara ya nyani kwa pamoja na mchezaji mwenzake wa England na mashabiki wa Ubelgiji katika michezo ya awali Ulaya Mashariki Septemba mwaka jana.
UBAGUZI
Jana Ashley aliandika kwenye Twitter akisema kwamba yeye na baba yake Theo, Don watabaki mbali kabisa na Ukraine - na Ashley anahoji busara ya kupeleka mashindano katika nchi ambayo mashabiki hawatakuwa salama.
Aliandika: “Kwa bahati mbaya, baba yangu na mimi tumeamua kutosafiri kwenda Ukraine kwa sababu ya kuihofia mashambulizi ya kibaguzi.

 

PICHA ZAIDI MSIBA WA MAFISANGO


Gari aina ya Toyota Cresta lenye namba za usajili T 387 BMZ alilokuwa akiendesha Mafisango.
Haruna Moshi 'Boban' akiwa na simanzi baada ya kifo cha mwenzake.
Emmanuel Okwi (kulia) nae alifika Muhimbili baada ya tukio hilo.
Uhuru Seleman wa Simba akilia kwa huzuni baada ya kufika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kiungo wa Yanga na mchezaji wa timu ya taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima akiwa na majonzi kwa kifo cha mwenzake anayetokea Rwanda pia.
Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa (kushoto) pamoja na Uhuru Seleman wakimlilia mchezaji mwenzao.
Kiungo wa Simba, Patrick Mafisango ‘Mutesa’, amefariki leo alfajiri katika ajali ya gari iliyotokea katika barabara ya Chang’ombe maeneo ya Chuo cha Ufundi, Veta, jijini Dar es Salaam.
Mtandao huu uliushuhudia mwili wa marehemu ukiwa umetapakaa damu nzito ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mchezaji huyo alipata ajali hiyo akitokea Klabu ya New Maisha kuelekea nyumbani kwake ambapo ndani ya gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Cresta lenye namba za usajili T 387 BMZ kulikuwa na wenzake watatu ambao wote walitoka salama kwenye ajali hiyo.
(PICHA:RICHARD BUKOS/GPL )

HILDA, JULIO WAFUNGUKA LEO DAR


Hilda Reiffestrein (kulia) na Julio Batalia wakiongea na wanahabari (hawapo pichani).
Meneja Uhusiano wa Multichoice Tanzania Ltd, Barbara Kambogi (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani), wengine pichani ni Julio, Hilda na Furaha.
Sehemu ya wanahabari waliohudhuria tukio hilo.
Hilda na Julio wakiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa Channel Ten, Salma Msangi (katikati).

Washiriki waliokuwa wakiiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother StarGame, Hilda Reiffestrein na Julio Batalia leo walizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Southern Sun iliyopo Posta jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa mambo waliyozungumzia kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, walieleza namna ambavyo wamejifunza tamaduni za watu mbalimbali walipokuwa mjengoni.

(PICHA NA ERICK EVARIST/ GPL
 

BOBAN TAABAN KWA KILIO KIFO CHA MAFISANGO, NI HUZUNI NA VILIO TUPU MSIBANI


Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.
Mchezaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ (kulia), akiwa wamekaa kwa huzuni na wenzake.
Boban akilia kwa uchungu.
Mchezaji wa Moro United, Jackson Chove, akiwa na huzuni.
Waombolezaji ambao ni mashabiki zake wakilia kwa uchungu.
Kifo cha kiungo mkabaji wa timu ya Simba, Patrick Mafisango, kilichotokea leo alfajiri maeneo ya Veta-Chang’ombe jijini Dar es Salaam baada ya kupata ajali ya gari, kimewahuzunisha watu wengi ambao walikusanyika nyumbani kwa mchezaji mwenzake, Emannuel Okwi, maeneo ya Bora-Keko ambako taratibu za msiba zinafanyika huku wakilia kama watoto.


MAFISANGO KUZIKWA KWAO DRC

PATRICK Mutesa Mafisango (32), mchezaji tegemeo wa Simba SC amefariki dunia jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo katika eneo la Keko jirani na Chuo cha VETA jijini Dar es Salaam.
Mafisango alikufa kutokana na ajali iliyotokea wakati gari alilokuwa akiendesha lilipogonga mti ulio pembezoni mwa barabara ya Chang’ombe majira ya saa kumi kasorobo alfajiri. Marehemu alifariki papo hapo.
Kwenye gari aliyokuwamo Mafisango, kulikuwapo na abiria wengine wanne lakini ni Mafisango pekee ndiye aliyefariki dunia.
Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili tayari kwa kusafirishwa kwenda kwao Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambako atazikwa.
Ingawa alikuwa na uraia wa Rwanda na akiichezea timu ya taifa ya nchi hiyo (Amavubi), Mafisango alikuwa ni mzaliwa na raia wa DRC na uamuzi wa kuzikiwa huko ni wa familia yake.
Msiba wa Mafisango uko katika eneo la Keko Toroli jirani na kituo cha Chang’ombe Maduka Mawili (Njia Panda Sigara).
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa kesho Ijumaa saa nne asubuhi katika viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Kinshasa majira ya saa kumi jioni.
Mafisango alizaliwa Machi 30, 1980 huko Kinshasa Zaire wakati huo na ameacha mke na mtoto mmoja wa kiume, Chris Paul, mwenye umri wa miaka mitano.
Mafisango ameichezea Simba kwa msimu mmoja tu akitokea Azam ya Dar es Salaam lakini kabla ya hapo alichezea pia TP Mazembe ya DRC, APR ya Rwanda na pia aliwahi kuwa nahodha wa Amavubi kwa takribani miaka mitano.
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, Makamu wake, Geofrey Nyange Kaburu na wajumbe wa kamati ya watendaji wameeleza kusikitishwa kwao na msiba huu mkubwa kwa klabu na wamewataka wana Simba wote kuwa watulivu na kumwombea marehemu Mungu amlaze mahali pema peponi.
Uongozi wa Simba unaahidi kuwa utatoa taarifa nyingine zozote muhimu kwa wananchi ili wafahamu kuhusu msiba huu pale itakapotokea.

SAMATTA ANUSURIKA KUFA AJALINI, AAMUA KUWA SALA TANO


Mbwana Samatta

MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amenusurika kufa kwa ajali ya gari leo mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Samatta anayechezea Tout Puissant Mazembe, ameiambia BIN ZUBEIRY leo mchana kwamba alikoswakoswa na gari la abiria leo asubuhi.
“Nipeni pole na mie, maana nimekoswa koswa leo asubuhi na gari ya abiria, sidhani kama ningeomba hata maji,”alisema.
Aidha, Samatta amesema baada ya kunusurika na kifo, kuanzi leo atakuwa anasali sala tano. “Kuanzia leo, nitakuwa wa kwanza masjid,”alisema.
Samatta pia amesikitishwa na kifo cha kiungo wa Simba, Patrick Mutesa Mafisango na amewapa pole wapenzi wa SImba na familia ya marehemu.
Samatta ameiambia BIN ZUBEIRY kutoka Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kifo hicho kimesmshitua sana, lakini hana budi kukubali kwa kuwa ni kazi ya Mungu.
“Dah majonzi tena, poleni familia ya Patrick Mutesa, poleni Simba SC, poleni wapenzi wa soka Tanzania, hatuna jinsi, Mungu ndio mpangaji wa yote,”alisema.
Mafisango alifariki dunia usiku wa kuamkia leo, eneo la Tazara, Dar es Salaam kwa ajali ya gari.
Vyanzo vimesema alikuwa anatoka Maisha Club disko na akiwa katika eneo hilo alikutana na mwendesha pikipiki aliyeingia ovyo na katika kumkwepa alijikuta anatoka barabarani na kuingia mtaroni na kupoteza maisha.

FERGUSON AMPA MKONO WA KWAHERI OWEN

Michael Owen and Sir Alex Ferguson together after United's Champions League semi-final win over Schalke
Fergi na Owen

Sir Alex Ferguson amempa mkono wa kwaheri mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa England, Michael Owen, ambaye anaondoka Manchester United.

Kocha huyo amemuambia namba saba wake huyo kwamba hatapewa mkataba mpya wakati wawili hao walipokuwa Belfast kwa mechi maalum ya hisani ya Harry Gregg usiku wa Jumanne, Owen akicheza kwa dakika 60, United ikishinda 4-1 kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Wayne Rooney.

 

TWIGA STARS NA AFRIKA KUSINI BUKU BUKU TU


Twiga Stars

KIINGILIO kwenye mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) na Afrika Kusini (Banyana Banyana) itakayochezwa Jumalipi (Mei 20 mwaka huu) ni sh. 1,000.
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniphace Wambura Mgoyo ameiambia BIN ZUBEIRY mchana huu kwamba mechi hiyo ambayo ni sehemu ya maandalizi kwa timu hizo zinazoshiriki mashindano ya Afrika itafanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10.30 jioni. Viingilio hivyo ni kwa maeneo yote, isipokuwa VIP A ambapo itakuwa sh. 10,000 na VIP B sh. 5,000.
Amesema baada ya mechi hiyo, Twiga Stars itakwenda Ethiopia kwa ajili ya mechi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) itakayochezwa Mei 27 mwaka huu jijini Addis Ababa.
Amesema tayari Meneja Usalama wa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA), Percy Makhanya ameshawasili nchini kuratibu ujio wa Banyana Banyana. Timu hiyo pia iko katika kinyang’anyiro cha kutafuta tiketi ya Fainali za Nane za AWC ambapo katika raundi hii ya pili imepangiwa Zambia na itaanzia mechi hiyo ugenini jijini Lusaka.

TFF WAMLILIA MAFISANGO


Mafisango katika picha iliyoambatanishwa na gari yake aliyopata nayo ajali

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa Simba na timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi), Patrick Mafisango kilichotokea leo alfajiri (Mei 17 mwaka huu) kwa ajali ya gari Dar es Salaam.
Ofisa Habari wa TFF, Bonipahce Wambura Mgoyo ameiambia BIN ZUBEIRY mchana huu kwamba, msiba huo ni mkubwa kwa familia ya mpira wa miguu kwani Mafisango kwa kipindi chote alichocheza mpira hapa nchini akiwa na timu za Azam na baadaye Simba, aliifanya kazi yake (kucheza mpira) kwa bidii.
Wambura amesema kifo chake ni pigo kubwa si tu kwa familia yake na timu alizochezea, bali ukanda mzima wa Afrika Mashariki na Kati ambapo changamoto zake zilikuwa dhahiri uwanjani.
Amesema wakati mauti inamkuta, Mafisango alikuwa ameitwa Amavubi kwa ajili ya mechi za mchujo za Kombe la Dunia, Kanda ya Afrika zinazochezwa mapema mwezi ujao.
Amesema TFF inatoa pole kwa familia ya Mafisango, klabu ya Simba, Shirikisho la Mpira wa Miguu Rwanda (FERWAFA) na kuwataka kuwa na subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba huo mzito.

VIWANJA VYA EURO 2012: UJUE UWANJA WA PGE ARENA


Gdansk - PGE Arena - Poland

JINA: PGE Arena
IDADI YA WATAZAMAJI: 43,615
ULIPO: Gdansk, Poland (Click for Google map)
KUFUNGULIWA: Agosti 14, 2011
GHARAMA ZA UJEZI: Pauni Milioni 151.8million
UKUBWA WA PITCH: Mita 105 urefu na mita 68 upana
Juni 10 - Hispania v Italy - Kundi C
Juni 14 - Hispania v Jamhuri ya Ireland - Kundi C
Juni 18 - Ugiriki v Russia - Kundi C
Juni 22 - Robo Fainali
PICHA ZAIDI ZA UWANJA WENYEWE:
Euro 2012 Stadium: Gdansk, Poland - PGE Arena
Euro 2012 Stadium: Gdansk, Poland - PGE Arena
Euro 2012 Stadium: Gdansk, Poland - PGE Arena
Euro 2012 Stadium: Gdansk, Poland - PGE Arena
Euro 2012 Stadium: Gdansk, Poland - PGE Arena
Euro 2012 Stadium: Gdansk, Poland - PGE Arena
 

BILA FERDINAND, KIKOSI HIKI ENGLAND KIPO UCHI


THE ONE SHOW ... Roy Hodgson axed Rio Ferdinand and kept John Terry
Rio Ferdinand na John Terry
Last Updated: 17th May 2012

JUST two weeks into his tenure as England manager, Roy Hodgson has already shown he is not afraid to make big calls.

And they do not come much bigger than leaving out Rio Ferdinand from the squad for Euro 2012.
News of the Manchester United star’s omission may have leaked out the night before but I am still surprised he is not included.
The squad looks a bit naked without him.
Hodgson insists his decision not to name Ferdinand alongside John Terry was made purely on footballing grounds and had nothing to do with the fact JT is due to stand trial in July on a charge of racially abusing Rio’s younger brother Anton.
That was good to hear.
Regardless of whether I agree with Hodgson’s decision or not, I am pleased he made it in the name of the game and not politics.
A manager must be able to select the players he wants to, even if sometimes those choices are unpopular with some members of the footballing establishment and the public.
If Hodgson feels Ferdinand’s inclusion was not right on a footballing basis that is, of course, his prerogative.
He is paid to make those calls and must be allowed to make them free of outside influence or duress.
But football is all about opinions and I probably would have reserved the right to have named both Ferdinand and Terry in my group.
I know this would have raised questions about the impact their inclusion would have had on the rest of the squad.
But, by all accounts, both players have stated they would be willing to play with the other.
And when you are heading into a major tournament with the England side, football is the only concern.
Without wishing to sound callous, there is no time to consider private feelings.
You are professional people, you are going on an important job and you need the best men for it.
Sentiment or politics do not come into it.
Now Ferdinand may not have had his best season for Manchester United and there are question marks over his fitness.
But he is still a class act with the experience and ability to do a job for his country at a major tournament.
And his inclusion would have evened out an imbalanced squad that I feel is too heavy in the middle.
Hodgson, who it should be remembered has been thrust into the job at the 11th hour, has named NINE midfielders — while Phil Jones, who has also played in midfield, is listed among the defenders, of which there are just seven.
Jones could also be forced to double up as Glen Johnson is the only recognised right-back in the group. That’s despite the fact many United fans will question his ability to play that role.
I’m delighted to see the old guard of Steven Gerrard, Frank Lampard and Gareth Barry, along with Scott Parker, retained in midfield.
But the overloaded section includes FOUR wingers in Stewart Downing, Theo Walcott, Ashley Young and Alex Oxlade-Chamberlain.
That could prove significant if we intend to go 4-3-3, but I wonder if four widemen is a bit excessive, especially as only four strikers have been named. And one of them, Wayne Rooney, is suspended for the first two matches of the tournament.
Now I know the likes of Walcott, Young or Oxlade-Chamberlain could push forward, as could new captain Gerrard.
But in reality we are left with one or two from just Jermain Defoe, Danny Welbeck and Andy Carroll as our attacking threat in our opening games against France and Sweden.
We must pray one of them does not get injured or sent off.
Oxlade-Chamberlain’s call-up has the potential to be inspired and I can see the logic in Carroll’s inclusion. To say he is ‘in-form’ is stretching it but he has finished the season strongly.
As a manager, sometimes you have to go with your gut feeling.
Hodgson has not had much time to assemble his squad but we must take comfort from the fact he has always been a great student of the game.
He would have known about the players he has picked long before the FA came calling.
He has made some big calls but he is the one who has rolled the dice and now we must wait to see where they land

No comments: