Tuesday, November 24, 2015

PICHAZ..Statoil wawajengea uwezo Wanahabari Mtwara juu ya uwekezaji wa Mafuta na Gesi.

Meneja Mawasiliano wa Kampuni Statoil, Genevieve Kasanga, akitoa somo kwa wanahabari wa mkoa wa Mtwara waliohudhuria semina ya kuwajengea uwezo juu ya uwekezaji unaofanywa na kampuni hiyo katika uchimbaji wa Mafuta na Gesi asilia, mkoani Mtwara.


Genevieve Kasanga


Genevieve Kasanga, akielekeza jambo kwa wanahabari.


Genevieve Kasanga.

Waandishi wa habari wa mkoa wa Mtwara waliohudhuria semina ya kuwajengea uwezo juu ya uwekezaji wa Mafuta na Gesi, iliyoandaliwa na kampuni ya uchimbaji wa rasilimali hiyo ya Statoil, katika ukumbi wa Naf Apartment-Mtwara.




Waandishi wa habari, wakifuatilia somo kwa umakini wa hali ya juu.

Waandishi wa habari wakiwa 'Busy' kunakili mambo ya msingi wanayozungumzwa na watoa mada.

No comments: