Matokeo ya kidato cha Nne: Wakuu wa shule wadai ilitungwa kwa mfumo tofauti

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru Kawambwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam
Kwa ufupi
MATOKEO mabaya ya mtihani wa kidato cha nne yamezidi
kuibua mapya, baada ya wamiliki wa shule na vyuo binafsi nchini kusema
mitihani ilitungwa kwa mfumo tofauti na uliozoeleka miaka yote, huku
tume iliyounndwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ikipondwa na baadhi ya
watu.
No comments:
Post a Comment