Monday, February 15, 2016

Wanne wasimamishwa kazi Muhimbili kwa upotevu wa Bil 1.5

 Waziri wa Afya Ummy Mwalimuh hii leo alifika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, Lengo likiwa ni kupokea vitanda na magodoro kutoka katika Bohari kuu ya dawa (MSD) kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka Hospitali hiyo kuongezewa vitanda, Lakini shughuli haikuishia hapo tu, akaligusia suala la upotevu wa fedha karibia Bil 1.5 na baada ya hapo akaamua kufanya maamuzi.
Full stori nimekusogezea kwenye hii sauti hapa chini..

SOURCE: Millard Ayo.

No comments: